![]() |
| Raila Odinga. |
29 Oktoba 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:54 GMT
Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa kwenye mahojiano na mwandishi wa BBC Joseph Odhiambo.
Chanzo-BBC SWAHILI.

No comments:
Post a Comment