Haya ndiyo mapokezi aliyoyapata mshindi wa Tuzo za AFRIMMA,Diamond platnumz mara baada ya kukanyaga ardhi ya nyumbani{BONGO}.
Diamond ameweza kuwa kinara wa Tuzo hizo zilizofanyika jijini Dallas{USA}hii ni baada ya kuibuka msanii aliyebeba tuzo nyingi kuliko wote walioshiriki kwenye Tuzo hizo{Katika TUZO hizo Diamond ametwaa Tuzo tatu}.
Baada ya mapokezi hayo Diamond akiwa na msafara wa mashabiki wake walielekea Escape One, Mikocheni kwa ajili ya kuzungumza na wanahabari pamoja na kupiga picha za pamoja na mashabiki wake.

![]() |
| Dadaake Diamond "Queen Darleen"akishangilia kwa Furaha muda mfupi baada ya Diamond kutua kwenye ardhi ya Bongo. |

No comments:
Post a Comment