![]() |
| Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe. |
![]() |
| Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe. |
![]() |
| Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam. |
Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa juzi usiku katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
![]() |
| Marehemu Kepteni William Silaa |
Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.
Picha hapo chini ni Chopa iliyosababsha kifo cha Mh,Deo Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
![]() | |
| Chopa iliyosababisha Umauti kwa Marehemu Deo Filikunjombe,Pichani Mh,Deo Filikunjombe akiwapungia Mkono wananchi katika moja ya safari zake za Kampeni akitumia Chopa hiyo. |





No comments:
Post a Comment