![]() |
Dr,Tulia Ackson |
Aliyekuwa Mtangaza Nia ya Uspika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia kwa tiketi ya Chama tawala{CCM}amechukua rasmi fomu ya kuomba kugombea Unaibu Spika.
Mapema leo Dr. Tulia na mwenzake walijitoa kwenye kinyang'anyiro hicho na kumuacha Job Ndugai peke yake hivyo kupitishwa kugombea Uspika wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi(CCM).
Atua hiyo imekuja saa chache baada ya John Magufuli kumteua kuwa mbunge, moja ya sifa ambazo zinatakiwa ili mtu awe naibu Spika.
No comments:
Post a Comment