Tuesday, 17 November 2015

David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu.

David Kafulila,
Aliyekuwa Mbunge wa kigoma, Mh. David Kafulila, afungua kesi mahakamani mkoani Tabora kuhusu kupinga ubunge kwa mgombea wa CCM

Aliyekuwa Mgombea Ubunge Kigoma Kusini, David Kafulila, amefungua kesi ya uchaguzi Mahakama Kuu Mkoani Tabora

-Amefungua kesi hiyo kupinga mgombea wa CCM kutangazwa mshindi


 

No comments: