Dereva mmoja huko Lubumbashi Congo ajimwagia petroli na kujiwasha
moto na kumng'ang'ania polisi waungue wote, polisi amefariki na dereva
yuko hoi hospitali.
-Alifanya hivyo baada ya Polisi kumkamata.
TAARIFA
Lubumbashi Centre ville - dereva kashikwa na Polisi
halafu kaamua kujimwagia petroli na kujiwasha moto then akamng'ang'ania
Polisi ili waungue wote.
-Alifanya hivyo baada ya Polisi kumkamata.
TAARIFA

No comments:
Post a Comment