Saturday, 7 November 2015

DIAMOND AENDELEA KUPAGAWA KIPAJI KILICHOMO NDANI YA MSANII WAKE"HARMONIZE#

Page Liked · 3 hrs ·
 

Hii ndio nyimbo ilonifanya niamini kunakitu ndani ya Harmonize... nikamuomba mwenyez Mungu anisaidie kunipa uwezo wa kumsaidia ili nae kesho nakesho kutwa atimize ndoto zake na kuweza kuisaidia familia yake pamoja na vijana wenzetu wengine wakali tulio mtaani.. kwakuwa hatuna plan tena ya kuiachia nyimbo hii kiOfficial nikaona siombaya wakati tunaiachia Video yake ya Aiyola kuiweka ngoma hii walau mkito ili nanyi muwe nayo Home!

No comments: