Msanii Nyota katika Muziki wa Kizazi kipya nchini{Bongo Flava},Diamond amemzawadia GARI dadaake ambaye pia ni msanii wa Muziki na Filamu "Queen Darlin"katika kumbukumbu ya Siku yake ya kuzaliwa Jana......
katika POST yake Diamond Mtandaoni iliyoambatana na GARI hilo,ameonyesha kumtakia HERI katika siku yake hiyo muhimu maishani,akisisitiza zawadi yake hiyo iwe kama kumbukumbu katika kuikumbuka siku hiyo Maishani mwake.

PICHANI Queendarleen akiwa amejiachia kwenye GARI hilo......

No comments:
Post a Comment