Saturday, 21 November 2015

MADUKA YA UCHUMI YADAIWA ‘KUTOKOMEA’ NA BILIONI 5 ZA WAFANYA BIASHARA.


Wafanya Biashara waliokuwa wakiuza bidhaa zao katika maduka ya Uchumi, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro kati yao na Maduka hayo ili waweze kulipwa pesa wanazozidai. Wakizungumza kwa uchungu jana jijini Dar es Salaam, wafanyabiashara hao wamedai pesa hizo ni zaidi ya Bilioni 5 ambazo hawajalipwa tangu maduka hayo yafungwe kwa mwenendo mbaya kibiashara.
Ni takribani mwezi mmoja hivi sasa tangu maduka hayo yafungwe.

No comments: