![]() |
| Rais J.P.Magufuli. |
Badala yake ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia ticket za ndege.
Rais John P. Magufuli amefuta majina ya maafisa wa Serikali 50 na kubakiza 4 tu waliotakiwa kwenda kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola
-Hatua yake hiyo imeokoa takribani milioni 700 ambazo zingetumika kwenye malipo ya posho na tiketi za ndege
Chanzo:Nipashe


No comments:
Post a Comment