Baada ya Mkali wa Muziki toka Bongo Diamond Platnumz kuwanyoosha Wasanii wa Africa kwa mara nyingine kwa kubeba Tuzo tatu kwa mpigo ndani ya Nigeria juzi.
Mwandani wake Zari The Boss Lady alishindwa kujizuia na kuandika ujumbe mzuri wa kumtia Moyo mzazi mwenzie kupitia Instagrm yake USOME hapo chini.....

No comments:
Post a Comment