![]() |
Demu wa zamani wa mkali Chris Brown aitwaye Karrueche Tran, yeye kwenye sherehe ya wafu Halloween aliamua kuvaa kama female rapper Lil Kim.
Tran aligeza vazi la Kim alilovaa mwaka 1997 kwenye video ya hit yake ‘Crush on you’.
Baada ya kumuona mjini Hollywood akiwa ndani ya kiguo hicho matata, Lil Kim akaamua kuelezea hisia zake kupitia ukurasa wake wa twitter akimsifia kwa kupendeza kinoma.
Shout out to everyone dressed as me this year!! I love seeing all of your costumes!!! Keep tagging #lilkim and I'll post the faves!!
— Lil' Kim (@LilKim) November 1, 2015
@LilKim thank youuuu 😘
— Karrueche Tran (@karrueche) October 30, 2015

No comments:
Post a Comment