Monday, 2 November 2015

PICHA:-YALIYOJIRI KWENYE KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MISS{TZ}2006 WEMA SEPETU.

Wema Abraham Sepetu kwenye Kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Wema akikiss na Mchumba wake{Mnamibia}
Wema na Martin Kadinda.
Wema na Meneja wake Martin Kadinda.
Kicheko cha Mama Wema.
Wema akimlisha Keki Milard Ayo wa Clouds Media.
Wema akimlisha Keki Stevie Nyerere.
Msanii Alikiba akitumbuiza kwenye sherehe hiyo.
Stevie Nyerere..
Lulu akimtunza Shosty wake Wema.
B12 na SHADEE wa CLOUDS MEDIA.
Maanjumati
Mama Wema akiwa katika Meza ya Kujisevia.
Wema akiwa Mchumba wake{Mnamibia}
Lulu na Penny

No comments: