Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na viongozi mbali mbali wa CCM mkoa wa Dodoma
waliojitokeza kumpokea, Mwenye kiti wa CCM ataongoza kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachojadili majina ya wana-CCM
walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
No comments:
Post a Comment