Tuesday, 3 November 2015

PICHA:-APOSTLE TB JOSHUA ALIVYOWASILI NCHINI TANZANIA JANA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA Dkt J.P.MAGUFULI.

TB JOSHUA atua nchini kwa Ndege yake binafsi akiwa ameongozana na ujumbe wa watu 40 kuja kumshuhudua rais mteule Dr.John pombe Joseph Magufuli akiapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Taifa hili hapo tarehe 05/NOV/2015.


Apostle TB Joshua akiongozana na mwenyeji wake Dkt,J.P.Magufuli muda mfupi baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jana.

No comments: