Ni October 31, 2015 ambapo mkali kutoka Nigeria Wizkid alishea jukwaa moja na Fareed Kubanda aka Fid Q, Diamond Platnumz na Christian Bella kwenye show iliyopewa jina la
Wiz Kid live in Dar iliyofanyika katika viwanja vya
Leaders Club.
 |
| Christian Bella akiwa na Malaika Band jukwaani. |
 |
| Diamond Platnumz akifanya yake kwa Stage. |
 |
| Wizkid kwa Stage. |
 |
| Wizkid akiendelea kufanya yake.... |
 |
| Maelfu ya Wabongo waliohudhuria Show hii jana. |
 |
| Fareed Kubanda a.k.a Fid Q{Mwanza Mwanza}kwa Stage ya Leaders Club. |
Picha zote kwa Hisani ya
milard ayo.
No comments:
Post a Comment