Mwenyekiti
wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema wanampongeza Rais Magufuli, kwa
harakati zake za kutekeleza ilani ya Chadema na vyama vinavyounda umoja
wa katiba ya Wananchi UKAWA. Amesema madudu ya ufisadi na uozo
unaotumbuliwa hivi sasa baada ya kufanywa na baadhi ya watendaji
serikalini ni matokeo ya sauti walizozipaza wapinzani, wakati CCM
walikuwa wanaona ni kelele.

No comments:
Post a Comment