Rais
John Pombe Magufuli, amempongeza Kaimu Kamisha Mkuu wa (TRA), Dk.
Philip Mpango, kwa kuvunja rekodi ya kukusanya kiwango kikubwa cha
mapato nchini mwezi huu tofauti na miezi mingine iliyopita walipokutana
Ikulu jijini DSM. Kwa mara ya kwanza, mwezi huu TRA imekusanya mapato
mengi zaidi ambayo ni Sh. trilioni 1.3. Wastani wa ukusanyaji mapato
katika kipindi cha hivi karibuni kabla ya Rais Magufuli kuingia
madarakani ulikuwa takribani Sh. bilioni 849.
Kwa kasi hii ya ukusanyajji mapato, picha gani unaipata kwa nchi yako pendwa Tanzania?
Kwa kasi hii ya ukusanyajji mapato, picha gani unaipata kwa nchi yako pendwa Tanzania?

No comments:
Post a Comment