| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
(kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan
(katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na
Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, Nov 30, 2015 kwa mazungumzo. |
No comments:
Post a Comment