Thursday, 7 January 2016

BOMOA BOMOA YA MAGUFULI KUMKUMBA WASTARA.

Lile zoezi la BOMOA BOMOA linaloendelea kote nchini limemkuta msanii wa Maigizo na Filamu nchini Wastara Juma kiasi kumuweka katika Mazingira magumu kiafya. kupitia mtandao Wastara amejaribu Kushare hali hii iliyomkuta kwa Mashabiki wake.

No comments: