Saturday, 30 January 2016

Diamond Platnumz kwenda Marekani kushoot video na Ne-Yo.

Diamond Planumz bado anaendelea kutesa katika muziki wa Afrika, sasa yuko katika mipango ya kwenda Marekani kushoot video yake na msanii wa Kimataifa NE-YO, audio ya kolabo hiyo ilifanyika mwaka jana.chini ya Producer toka nchini Sheddy Clever.
Kwa Mujibu wa Diamond Platnumz alipokuwa akihojiwa na Millard Ayo amesema kuwa mwezi wa tatu ataenda Marekani kufanya video yake na Ne-yo pia atafanya kazi na wasanii kadhaa akiwemo Swiz Beatz.

No comments: