Saturday, 30 January 2016

Ali Kiba na Sauti Sol washoot video ya wimbo wao nchini Kenya

Hii ni Collabo ambayo inasubiriwa sana na Mashabiki wa Ali Kiba na Sauti Sol, Audio ya Collabo hii ilifanyika mwishoni mwa mwaka jana, sasa video ya wimbi huu iko inatengenezwa nchini Kenya katika mji wa Mombasa.

Justin Campos ni Director anaeshoot video hiyo, Mke wa Justin Campos aitwaye Candice amepost picha na kuandika Guess what we have been up to? @sautisol @iamchimano @bienaimesol @officialalikiba @gorilla_films @icandicam #Mombasa #Kenya [movie_camera [sunglasses] #onset #setlife #tanzania #africa #anotherone]

No comments: