RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Monday, 4 January 2016
Esha: Nikipata Tatizo Team Diamond Itahusika.
Esha Buhet
Chokochoko! Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet amefunguka kuwa
endapo atakumbwa na tatizo lolote basi timu ya Mwanamuziki wa Bongo
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Team Diamond itahusika.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Esha alisema kuwa chokochoko zilianza
alipoposti picha za Ali Kiba mtandaoni ambapo Team Diamond walianza
kumtukana na kumwambia watamfanyia kitu mbaya.
Chanzo: GPL
No comments:
Post a Comment