Monday, 4 January 2016

familia ya Mark Zuckerberg mmiliki wa facebook yabarikiwa mtoto wa kwanza.

Ukiacha mtoto wa Kanye West na Kim K, mtoto mwingine ambaye watu walitaka kumuona ni mtoto wa mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg.
Hii ni picha ya familia ya Mark akiwa na mke wake Dr. Priscilla Chan na mtoto wao mwenye wiki tano Maxima.

No comments: