Monday, 4 January 2016

Maghembe afichua siri uteuzi wa Jenerali Milanzi.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amefichua sababu za Rais John Magufuli, kumteua Meja Jenerali Gaudence Milanzi kuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo.

Profesa Maghembe alisema lengo ni kuwa na kamanda atakayeongoza mapambano dhidi ya ujangili na kutoa onyo kwa majangili kujisalimisha na silaha zao, vinginevyo watakiona cha mtema kuni

No comments: