Tuesday, 12 January 2016

NUH MZIWANDA ASIKITISHWA NA SHILOLE KUFUTA TATOO YAKE BAADA YA KUMWAGANA.

Nuh: Nimesikitishwa sana Shilole kufuta ‘’tattoo’’ yangu.

 ‘’Kiukweli nimesikitika sana hata kama tumeachana mimi mbona sijafuta tattoo zake na sina mpango wa kuzifuta kwa sasa,’’Alisema Nuh

 

Hata hivyo Shilole alipoulizwa kuhusiana na alichokisema Nuh alisema kuwa mbona Nuh aliwahi kuwapost mademu zake wapya mara tu baada ya kuachana. ‘’Mimi nimewahi kufuta tattoo kwa sababu yeye alianza kuwapost mademu zake wapya Instagram baada ya kuachana,’’Alisema Shilole.

No comments: