Tuesday, 12 January 2016

Picha: Linex kafunga ndoa au ni matayarisho ya video yake mpya?

 Wasanii wengi wamekuwa wakitumia njia mbalimbali katika kupromote nyimbo wanapokaribia kuzitoa, Leo nimekutana na picha hizi katika account ya Instagram ya Msanii Linex Sunday Mjeda ambaye katika muonekano wa Picha hizo anaonekana kama amefunga ndoa.


Moja ya post zake Linex Sunday Mjeda ameandika Kuna Maamuzi hayaitaji Matangazo.
Je ni kweli Linex  amefunga ndoa au anakuja na video mpya? tusubiri tuone.

No comments: