Tuesday, 12 January 2016

UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM.

Vijana wa UVCCM Zanzibar waitaka CCM imfukuze uanachama Rais Mstaafu wa Zanzibar Aman Karume, wadai ameungana na hoja za upinzani.

-Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis amesema asipofukuzwa umoja huo utatumia njia zingine ambazo hakuziweka wazi.

Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.

Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.

===================
 
No comments: