 |
Mh,Zitto Kabwe.{Mb}
|
Mijadala
ya Bunge huchukua masaa 5 Dk 45 kwa siku. Nape anasema Televisheni ya
Taifa itarusha mjadala uliorekodiwa kwa saa 1 tu. Halafu anasema
hapatakuwa na censorship. Serikali ya Awamu ya 5 haitaki kukosolewa.
Haitaki kusikia hoja mbadala. Hizi ni hatua za mwanzo za kujenga
udikteta. Watanzania wasikubali
No comments:
Post a Comment