MWANAMZIKI nguli nchini Diamond ameendelea kuhakikisha anatumia kila fursa inayokuja mbele yake,ambpo hivi karibuni mara baada ya kusaini mkataba mnono wa mamilioni ya pesa,staa huyo akiwa na timu yake nzima na maofisa wa vodacom walizuru nchini South Afrika kwa ajili ya kukamilisha kazi mbalimbali za kibalozi ambazo zinamuhusu Diamond.
Diamond ameandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram
"Kwa sasa nipo South Africa kikazi lakini wiki ijayo nikirudi tu Tanzania nataka nitoe zawadi kwa watu 30.... ambao watakuwa wako na line ya Vodacom nitawaekea Vocha ya Elf Hamsini 50,000/= kwa kila Mmoja na Internet ya Mwezi Mzima Bure!!!!

No comments:
Post a Comment