Tuesday, 9 February 2016

PICHA:WALIOWAHI KUWA MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TATU DANIEL YONA NA BASIL MRAMBA WALIPOANZA KIFUNGO CHA NJE KWA KUFAGIA MAZINGIRA HOSPITALI YA PALESTINE JIJINI DAR ES SALAAM.


Mawaziri wa Serikali ya AWAMU ya Tatu Bw,Basil Mramba na Daniel Yona walipowasili jana Hospitali ya Palestine-Sinza jijini Dar es salaam  kuanza usafi wa mazingira kama sehemu ya adhabu yao ya kifungo cha nje,kama ilivyoamuliwa na Mahakama.

No comments: