Wednesday, 17 February 2016

TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia.

TANZIA: 
Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) amefariki dunia leo alfajiri akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.

-Alikuwa akitibiwa katika hospitali hiyo baada ya kulipukiwa na mtungi wa gesi.

Kutoka kwenye eneo la chanzo cha kifo cha msanii John Woka

  John Woka ni miongoni mwa Wasanii wa longtime Tanzania ambapo umaarufu wa jina lake uliongezeka kutokana na ubunifu wake wa kurap kama Mlevi, kwenye hii video hapa chini kuna maelezo ya mkasa uliompata pamoja na eneo la tukio ambalo ndio chanzo cha kifo chake.

No comments: