Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa
Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido
Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote
amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyew akiacha ujumbe wa majina ya watu
anao wadai walipe madeni yake kabla ya kusafirishwa kwao pamoja na namba
za Mama yake mzazi.


No comments:
Post a Comment