Monday, 18 April 2016

BINTI WA RAPPER T.I APATA MCHUMBA.

Waswahili wanasema ukikuza jiandae kukuziwa pia, hii inajidhihirisha katika familia ya rapa mmiliki wa ATL T.I.
Mtoto wake wa kambo aitwae Zonnique mwenye miaka 20 amepata Mpenzi ambaye ni mchezaji maarufu nchini Marekani
Mwandani wake huyo ni mchezaji wa NFL na anaitwa   ‘Damian Swann’ anachezea timu ya New Orleans Saints.
Damian na Zonnique wanafahamia muda mrefu .
T.I ambaye ni baba wa Zonnique ameonyesha kutokuwa na tatizo kwa vyombo vya habari kumfuatilia mtoto wake na maisha yake ya mapenzi sababu familia ya T.I imekuwa wazi sana kupitia kipindi chao cha Familia Hustle.

No comments: