April 20 2016 gari aina ya Toyota Hiace
lililokuwa ndani ya Pantoni kuelekea Kigamboni Dar es salaam
liliserereka na kuzama baharini ambapo inasadikiwa lilikuwa na watu
wawili, uokoaji ulifanyika ambapo asubuhi jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na mchana mwili wa pili wa Nice Karagwe ukapatikana.








No comments:
Post a Comment