Ni safari yake ya kwanza kwenda nyumbani kwao Chato
ambapo alishuka kwenye uwanja wa ndege Mwanza na kabla hajaondoka
kwenye eneo la uwanja akatoa shilingi laki moja kununulia Wananchi soda
na kisha akakaa kwenye mgahawa wa pembeni mwa uwanja wa ndege na kula
chakula kama mteja mwingine wa kawaida, tazama kwenye hii video hapa
chini.
iangalie VIDEO hapo chini........
iangalie VIDEO hapo chini........

No comments:
Post a Comment