Friday, 1 April 2016

Diamond uso kwa uso na Awilo Logomba, Paris Ufaransa.

Diamond Platnumz amekutana na mwanamuziki mkongwe, Awilo Logomba jijini Paris, Ufaransa.
Wote tunamfahamu Diamond kwa kuchukua fursa, labda tunaweza kuongeza collabo hii pia na Awilo longomba kwenye ile orodha ndefu ya collabo za  Diamond ambazo tunazisubiri.
My good friend@awilolongombacame to visit, hope you do some business with hubby. Was great seeing you,” Ameandika mpenzi wa Diamond, Zari.
Diamond yupo kwenye ziara yake ya From Tandale to the World Tour.

No comments: