Tuesday, 5 April 2016

Waziri Kairuki: Jumla ya watumishi hewa 7,795 wamebainika, wasababisha hasara ya bilioni 7.5

Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema hadi sasa, jumla ya watumishi hewa 7,795 wamebainika katika mamlaka zote za mikoa nchini.

- Waisababishia Serikali hasara ya jumla ya bilioni 7.5


 Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema kuwa, Wafanyakazi hewa waliobainika toka mwezi Januari hadi jana ni 7795, waisababishia Serikali hasara ya Sh7.5bn, Waziri A. Kairuki asema leo.

Wamebainika katika mamlaka za mikoa nchini.

Amesisitiza kuwa zoezi bado linaendelea

No comments: