Monday, 16 May 2016

DIAMOND AREKEBISHA MAKAZI YA NYUMBANI ALIKOZALIWA[TANDALE]

Diamond kupitia IG yake amepost mjengo wa nyumbani kwao Tandale alipozaliwa kwanza alianza na picha ya zamani palivyokuwa na kumalizia na video ikionyesha ukarabati uliofanyaka na kuwa na muonekano mzuri

.
Hapa ndipo palikuwa nyumbani kwetu Tandale nilipozaliwa kulelewa na kujifunzia Muziki hadi leo kufikia hapa…. napaHeshimu, Napapenda, napathamini na Daima hata niende wapi lazima nirudi maana nikiwa hapa nasikia faraja na amani ya moyo… Mwanzo palikuwa hivi #HomeSweetHome #Before

No comments: