Friday, 20 May 2016

KYLIE JENNER AACHANA RASMI NA TYGA NA KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA.

Ex wa Tyga Kylie Jenner kapata mpenzi mpya,ni msanii wa Drake.

 

Kylie Jenner ambaye ni Ex rapa Tyga ameanza kuhusishwa kimapenzi na baadhi ya rapa wakali baada ya kuachana na mpenzi wake wa mwaka mmoja. Kylie awali alihusishwa kutoka na Ty Dola Sign ila kwa sasa ametajwa kutoka na rapa ambaye pia ni ‘bad boy’ anayefahamika kama Jahron Brathwaite, aka PartyNextDoor. Inasemekama Kylie anapenda wanaume kama anaowapenda dada yake Kim Kardashian, ambaye ameolewa na Kanye West. Kijana huyu PartyNextDoor anatoka Canada, ana miaka 22, amemzidi Kylie miaka minne tu na ni msanii wa Drake kupitia lebel yake ya OVO.

No comments: