| Lady Jaydee |
Gadner alitoa kauli hiyo iliyoonyesha kuhudhi wengi akiwemo Naibu Waziri wa Afya Dr,Khamis Kigwangala aliyemtaka Gadner na uongozi mzima wa CLOUDS MEDIA kumuomba radhi Jaydee,japo ushauri wake haukufanyiwa kazi.
Kupitia HATI ya kumtaka kuomba msamaha mbele ya UMMA tuliyoipata GADNER anatakiwa kuomba radhi mbele ya hadhara kama alivyofanya wakati akitoa maneno hayo mbele ya UMMA wa Watanzania waliohudhuria BONANZA lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe.......
| Gadner G Habash |

No comments:
Post a Comment