Maelfu ya watu wanahudhuria maombolezo rasmi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ya mwanamuziki nguli Papa Wemba aliyefariki dunia ghafla. Mwili wake umelazwa katika jengo la bunge jijini Kinshasa, na baadaye utapelekwa nyumbani kwake kwa ajili ya watu kutoa heshima zao za mwisho. Papa Wemba atazikwa siku ya Jumatano.
No comments:
Post a Comment