Saturday, 21 May 2016

Picha: Yaliyojiri kwenye usiku wa Lady Jaydee

Show kubwa ya msanii Lady Jaydee iliyopewa jina la ‘Naamka Tena Concert’ iliyofanyika Ijumaa hii kwenye ukumbi wa Mlimani City imefana. Kwenye show hiyo Jaydee alitumbuiza pamoja na bendi yake. Mastaa waliohudhuria ni pamoja na Alikiba,Wema Sepetu,Rama Dee,Idris Sultan,Lamar, Lulu na wengi. Tazama picha za show hiyo

The Sony Music Boy: Alikiba alipanda jukwaani kwa surprise na kufanya ukumbi ulipuke kwa shangwe za hatari

Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiteta jambo na Majay, wa kulia ni Dizzle`

Mama Mzazi wa Lady Jaydee wa katikati

Meneja Lady Jaydee (katikati) Seven Mosha akifuatilia show

Rama Dee

.
Mtangazaji Gerald Hando wa EFM.




Wema Sepetu & Idrissa Sultan

Alikiba

Alikiba&Idrissa Sultan






Wema Sepetu




Elizabeth Michael.'lulu'

Jay dee

Elizabeth Michael'Lulu'




Jaydee kwa Stage.





SalmaJabu'Nisha'

Dj Maay & Elizabeth Michael'Lulu'




Sebo Chibaluma wa Efm.










Alikiba & Wema


Mama Jaydee

Sebo & Gerald Hando




Jaydee Kwa Stage.






Idrissa & Wema




Ben pol na company yake.

Jaydee





No comments: