 |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha
Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa
Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho
kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai
23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John
Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa. |
 |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha
Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa
Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho
kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai
23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John
Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana. |
Hii ndiyo taarifa rasmi kama ilivyotolewa na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, baada ya Kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment