| Wakili wa Mungu na kiongozi wa Kanisa la The Pool of Siloam Church, Elisha Eliya
[Mzeituni wa II]akiendesha Ibada maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na
Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo,
Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment