| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza na Mchezaji wa Mpira wa kulipwa wa Kikapu NBA
Marekani Hashim Thabit, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais
Ikulu Dar es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu
lengo na mpango wake wa kuanzisha na kukuza vituo vya Michezo hapa
Nchini. |
No comments:
Post a Comment