![]() |
| Terrence, Taraji na AKA wakiongea mbele ya mamia ya mashabiki jijini Johannesburg |
Waigizaji wa tamthilia ya Empire, Taraji P Henson na Terrence Howard wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kwaajili ya kupromote tamthilia hiyo inayopendwa.
Wawili hao watakaa kwa siku tano nchini humo ambako watashiriki kwenye VIP dinners, kuzungumza na waandishi wa habari na kukutana na mashabiki.
Hizi ni picha za mastaa hao wakiwa na rapper AKA





No comments:
Post a Comment