Thursday, 9 June 2016

PICHA ALIYOPOST RAYMOND MTANDAONI YAMPATIA AKA MPYA.


Staa wa rekodi ya ‘Kwetu’ na ‘Natafuta Kiki’ kutoka WCB, Raymond ‘Rayvanny’ amepata jina jipya kwenye mitandao ya kijamii nalo ni RayMoney baada ya kuonyesha picha akihesabu mapesa mtandaoni Raymond ni miongoni mwa wasanii wakali waliotoka mwaka huu ila awali alikuwa akitayarisha na kuandikia wasanii wengine muziki.
Kwa sasa Ray ni msanii wa WCB na kwenye instagram wanamuita RAYMONEY

No comments: