TUNAKUTANA TENA KATIKA JUMA LA KWANZA KWA MWEZI WA SABA 2016,
IKIWA NI ADA YETU KUZICHAMBUA NGOMA ISHIRINI BORA ZILIZOFANYA VYEMA NDANI YA MWEZI MMOJA TOKA ZIMETOKA,
KIGEZO KIKUBWA KILICHOTUMIKA KUZICOUNT ISHIRINI HIZO BILA FIGISU YOYOTE NI MAPENZI YENU MASHABIKI WA MUZIKI HUU TOKA TANZANIA[BONGO FLAVA]KUPITIA UWINGI WA VIEWERS KUPITIA MTANDAO WA YOUTUBE,
PIA NGOMA ZENYE SIFA YA KUINGIA KWENYE TOP 20 HII YA @Ngessa blogspot NI ZILE ZA WASANII TOKA TANZANIA NA WALIZOSHIRIKISHWA TOKA NJE YA BONGO NIA NI KUUTANGAZA MUZIKI HUU TOKA TANZANIA[BONGO FLAVA]
NB:BILA KUCHELEWA TUANZE KUZICOUNT.........
IKIWA NI ADA YETU KUZICHAMBUA NGOMA ISHIRINI BORA ZILIZOFANYA VYEMA NDANI YA MWEZI MMOJA TOKA ZIMETOKA,
KIGEZO KIKUBWA KILICHOTUMIKA KUZICOUNT ISHIRINI HIZO BILA FIGISU YOYOTE NI MAPENZI YENU MASHABIKI WA MUZIKI HUU TOKA TANZANIA[BONGO FLAVA]KUPITIA UWINGI WA VIEWERS KUPITIA MTANDAO WA YOUTUBE,
PIA NGOMA ZENYE SIFA YA KUINGIA KWENYE TOP 20 HII YA @Ngessa blogspot NI ZILE ZA WASANII TOKA TANZANIA NA WALIZOSHIRIKISHWA TOKA NJE YA BONGO NIA NI KUUTANGAZA MUZIKI HUU TOKA TANZANIA[BONGO FLAVA]
NB:BILA KUCHELEWA TUANZE KUZICOUNT.........
1-ALIKIBA - AJE (Official Video)-[2,068,007 Viewer's]
‘AJE’ is Alikiba's 1st smash hit release through his worldwide exclusive partnerships with his record label Sony Music Entertainment alongside his long standing global exclusive partnership with his management company 'ROCKSTAR4000'
2-Nedy Music ft Ommy Dimpoz Usiende Mbali-[1,216,380 Viewers]
3-RICH MAVOKO - IBAKI STORY (Official Video ) [1,049,501 Viewer's]
'The Video Was Shot In South Africa Directed by NIKI
4-Shetta - Namjua ( Official Video)[1,019,464 Viewer's]
5-Ben Pol - MOYO MASHINE (Official Video) [724,023 Viewer's]
6-Mayunga feat Akon - Please Don't Go Away (Official Video) [437,219 Viewer's]
7-Mr.Nay True Boy - Saka Hela (Official Video)[360,430 Viewer's]
8-Yamoto Band Feat Ruby - Su (Official Video) [290,004 Viewer's]
10-Shilole ft Barnaba - Say My Name (Official music video)[277,396 Viewer's]
11-AbduKiba | Bayoyo | Official Music Video[203,692 Viewer's]
12-Bill Nas - Chafu Pozi (Official Video) [162,992 Viewer's]
13-HAPO - Quick Rocka,G Nako & Jux (Official Music Video) [146,561 Viewer's]
14-G Nako Ft Chin Bees & Nikki Wa II - Arosto ( Official Music Video )[136,390 Viewer's]
15-GODZILLA FT MWASITI - FIRST CLASS Official Music Video[111,614 Viewer's]
16-Jay Moe - Pesa Ya Madafu (Official Video)[103,067 Viewer's]
17-Belle 9 Feat. Izzo Bizness, Jux, G Nako, Mr Blue, Maua Sama - Burger Movie Selfie RMX Official VIDEO [100,304 Viewer's]
18-Madee Migulu Pande Official Video [76,779 Viewer's]
19-MANFONGO - HAINAGA USHEMEJI[63,139 Viewer's]
20-Makomando - Sasanuvo (Official music Video) [57,729 Viewer's]
In the song, Makomando sing about how in-love they're with a girl and that they can not afford to let her go easily no matter what they face in the modern day world.
The music video is poised to unite fans across East Africa and Africa at large, through dance and its strong message. "TETE SASA NUVO" is a Comorian language which means "BRING SOMETHING NEW" ( as you'll hear it repeatedly in the hook) #Makomando #Sasanuvo
The video was shot in NUNGWI located in the far northern end of the island of Zanzibar,Tanzania AND Dancing scenes was taken at Century Cinemax (Mkuki House - Dar es Salaam).
SASANUVO has been shot by the super talented Tanzanian video director Msafiri Shaaban well known as "Travellah" of Kwetu Studios.
Written by Makomando.
Produced by Djo Banjo
Styling: Joel Emmanuel | @14joe__ )
NB:BONUS TRACK THIS WEEK.
Isha Mashauzi - Jiamini {official HD Video}[17,555 Viewer's]
Imetayarishwa na Dvj Kay.
@Kayson Ngessa[Fb]
@Kayson Ngessa[Tweeter]






















No comments:
Post a Comment