![]() |
| NI FURAHA ILIYOJE! STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, amefunga ndoa na mchumba wake Amina Khalef, leo asubuhi, Aprili 19, mjini Mombasa nchini Kenya. |
![]() |
| Hakika ni furaha, shangwe, nderemo na vifijo kwa maharusi, wanafamilia na mashabiki wa Kiba mara baada ya ndoa hiyo kufungwa katika msikiti wa Ummul Kulthum, mjini Mombasa. |
![]() |
| Hivi ndivyo Alikiba alivyotokelezea LEO alfajiri kwenye NDOA yake na Bi,Amima Khaled jijini Mombasa-Kenya. |
![]() |
| PICHANI: Alikiba Na Mdogo wake AbduKiba wakiwa na Mama yao Mzazi muda mfupi kabla ya NDOA ya Alikiba kufungwa. |








No comments:
Post a Comment